Balaa la mafuriko Kilimanjaro || Watu zaidi ya 4000 wakosa makazi ya kuishi
Watu zaidi ya 4000 katika eneo la kikavu chini kata ya Weruweru na Masama Mashariki Wilaya ya Hai,Mkoani Kilimanjaro hawana Makazi ya kuishi baada ya nyumba zao kukumbwa na mafuriko yaliyotokana na kujaa kwa mto Namwi na kusababisha vifo vya watu watatu.
Mafuriko hayo yalitokea Aprili 21 mwaka huu kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha Mkoani hapa na kusababisha kingo za mto huo kuvunjika na kupelekea kusombwa kwa gari lililokuwa limebeba watu watatu wa familia moja huku mwili wa mmoja umepatikana na jitihada za kutafuta miili ya watu wawili ikiendelea
Leo kamati ya usalama ya Mkoa ilitembelea maeneo hayo ambayo yalivamiwa na maji Masama Mashariki,Kikavu chini na eneo la TPC ili kuangalia madhara yaliyosababishwa na mafuriko hayo.
Akizungumza mkuu wa Mkoa wa kilimanjaro,Anna Mghwira amesema madhara ni makubwa kutokana na kaya zaidi ya 700 zenye watu zaidi 4000 nyumba zao kuharibiwa na mafuriko hayo ambapo amesema serikali inaendelea na jitihada za kuona namna ya kuzisaidia kaya hizo.
4 views
222
47
2 months ago 00:14:24 1
BOTAN A PATADAS A GUSTAVO ADRIANZÉN EN NAZARENAS
9 months ago 00:02:53 1
Il Piemontese Moderno - L’Estate E’ Qui Per Te - Canta E Bala Ansem A Mi Remix
2 years ago 00:02:11 1
Pourquoi la chaîne YouTube de Dieudonné a été fermée
2 years ago 01:09:38 1
О, пой, моя желанная!
3 years ago 00:02:24 1
Indignación: dejan libres a acusados de asesinar a bala a dueño de bicicleta en Engativá
4 years ago 00:03:18 4
Balaa la mafuriko Kilimanjaro || Watu zaidi ya 4000 wakosa makazi ya kuishi
4 years ago 00:01:52 8
Dieudonné définitivement banni de Facebook et Instagram