Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara wamerejea kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo baada ya leo kupata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mtibwa Sugar, kwenye Dimba la Uhuru Dar es Salaam.
Walioitafuna miwa ya Mtibwa kwenye mchezo huo uliokuwa mzuri na wa kuvutia, ni John Bocco dakika ya 33, Clatous Chama dakika ya 48 na Emmanuel Okwi dakika ya 56.
Ushindi huo umefanya Simba ifikishe pointi 85 na kukaa kileleni mwa msimamo wa ligi ikiwaacha Yanga kwenye nafasi ya pili wakiwa na pointi 83 wakati Mtibwa Su
2 views
7394
3385
11 months ago 00:07:43 1
ALL GOALS : BURKINA FASO 1- 0 MAURITANIA AFCON 2023 (MAGOLI YOTE BURKINA FASO VS MAURITANIA)
11 months ago 00:08:23 2
ALL GOALS : MALI 2 - 0 SOUTH AFRICA AFCON 2023 (MAGOLI YOTE MALI VS SOUTH AFRICA)
11 months ago 00:07:45 1
ALL GOALS : TUNISIA 0 - 1 NAMIBIA AFCON 2023 (MAGOLI YOTE TUNISIA VS NAMIBIA)
3 years ago 00:08:00 7
AFCON 2021 | HIGHLIGHTS | SENEGAL 2-0 CAPE VERDE | ROUND OF 16 | MAGOLI YOTE YAMO